
Mke wa bondia afunguka changamoto za kuolewa na mtu wa masumbwi
ATALANTA, MAREKANI: Wote tushasikia msemo wa kwamba “Kila kwenye mwanaume mwenye mafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.” Msemo huo unaweza kusiikia kwenye mambo ya kisiasa na mengine, lakini je, vipi kuhusu wanawake wa mabondia, msemo huo unaleta maana? Kama inavyofahamika, kujiandaa kwa pambano na ngumi si kazi nyepesi. Kwa kawaida inaweza kuchukua wiki hadi sita na…