
Mpina mwiba CCM, ahofia kuzibwa mdomo
WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM), kikijinasibu kuwa kinara wa demokrasia nchini, kimemuweka kwenye kitanzi mbunge wake wa Kisesa Luhaga Mpina kutokana na michango yake anayoitoa bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Tayari vikao vya kamati ya maadili ya CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa vimejadili mwenendo wa mbunge huyo ndani na nje ya Bunge na kuna…