
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024
Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 30 Mei 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndungulile aliyeuliza ni lini matengenezo ya…