
Serikali yaunda kamati kupitia nyongeza ya pensheni
Dodoma. Serikali ya Tanzania imeunda kamati kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya rasimu ya Waraka wa Baraza la Mawaziri kuhusu nyongeza ya pensheni kwa wastaafu wanaolipwa na Hazina. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa…