
Maandalizi ya CHAN 2024 na afcon 2027 yapambamoto
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027 yatakayofanyika nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kilichofanyika Mei 6, 2024 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimejadili ukarabati wa miundombinu ambayo itatumika katika mashindano hayo iliyopo Tanzania Bara na…