
Marubani wa ATCL kutoa shule ya Airbus Nigeria
Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake, kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom iliyopo nchini Nigeria. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi, amethibitisha kuwepo kwa makubaliano hayo, ambapo amesema ATCL imetoa marubani wake waandamizi wawili ambao watakuwa na jukumu la…