Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya nyota daraja la kwanza kutoka Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endeela). Onesho hilo lilifayika juzi, Mei 4, mwaka huu nchini Afrika Kusini, ambapo Netflix, waandaaji wa series hiyo, walizindua…

Read More

Jacob na Malisa wafikishwa kortini Kisutu

Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa,  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na sheria. Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo Leo, Jumatatu Mei 5, 2024 na kusomewa mashtaka yao na wakili wa Serikali,  Neema Moshi akishirikiana na Happy…

Read More

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Serikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Makubaliano ya utaratibu wa ufadhili huo yalitiwa saini leo jijini Dar es Salaam na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Ruth Zaipuna na Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More

Wakunga watakiwa kuzingatia weledi kwenye utoaji wa huduma

*Waomba Serikali kutambua taaluma ya ukunga katika utumishi na kuboresha maslahi yao Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudumia. Amesema kuwa kada zote za afya zinasimamiwa na miiko na maadili…

Read More

WAZIRI MKUU: WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTASHI WA RAIS SAMIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai.   “’Utashi wa kisiasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mfumo wa utoaji wa Haki Jinai lazima udhihirike kwenu ninyi viongozi…

Read More

Mh.Mbunge fisi wanajisadia kwenye machinjio yetu kila ifikapo ahsubuhi tunakutana na kinyesi chake

Wananchi katika kijiji cha Lugunga kata ya Lugunga Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wanakabiliwa na changamoto ya uwepo wa Fisi ambao wamekuwa wakijisaidia katika Machinjio ya kijiji hicho hali ambayo imekuwa ikiwakela huku wakiiomba Serikali ya Kijiji hicho kuchukua hatua. Akiwasilisha Changamoto hiyo mbele ya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Bw. Charles Yusufu…

Read More

Idris Sultan anogesha Msimu wa Tatu wa Bridgerton

Na Joseph Shaluwa STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya nyota daraja la kwanza kutoka Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Onesho hilo lilifayika juzi, Mei 4, mwaka huu nchini Afrika Kusini, ambapo Netflix, waandaaji wa series hiyo, walizindua msimu…

Read More

Huduma za kibingwa zatua hospitali 184 za halmashauri

Iringa. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango wa makambi ya madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima kutoa za matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri. Madaktari bingwa watano wa upasuaji; afya ya uzazi, watoto na watoto wachanga, magonjwa ya ndani pamoja na wale wa ganzi na usingizi watakuwa wakitoa huduma za kibingwa kwenye hospitali moja…

Read More