
MAAFISA UNUNUZI WAASWA KUTUMIA MIFUMO YA UNUNUZI KIELETRONIKI
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Chande (Mb.) amewaasa maafisa ununuzi wa taasasi za Serikali kuhakikisha kuwa shughuli zote za ununuzi wa umma zinafanyika katika mfumo wa ununuzi wa umma kieletroniki (NeST) ikiwa ni pamoja na kutumia moduli ya kuwasilisha malalamiko kieletroniki. Agizo hilo limetolewa na Mhe. Chande wakati wa ufunguzi wa mafunzo siku mbili…