
Exim Bank yaendeleza malipo ya kidijitali kwa kushirikiana na Chef’s Pride Dodoma – MWANAHARAKATI MZALENDO
Exim Bank yaendeleza malipo ya kidijitali kwa kushirikiana na Chef’s Pride Dodoma Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef’s Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya ushirikiano katika uzinduzi rasmi wa tawi…