
BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA WANAFUNZI VYUO VIKUU VYA IRINGA NA DODOMA
Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika chuo hicho mwishoni mwa wiki kwaudhamini wa Barrick. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na…