Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • TANROADS NA MKANDARASI KUONDOA FOLENI MTO MZINGA

    44 minutes ago
  • NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS

    48 minutes ago
  • Mwili wa mgombea ubunge CUF aliyeuawa kuzikwa Oktoba 11 Kigoma

    54 minutes ago
  • Mradi wa Graphite, yametimia | Mwananchi

    58 minutes ago
  • SHIRIKA LA POSTA LAADHIMISHA SIKU YA POSTA KIVINGINE

    1 hour ago
  • HUSSEIN JUMA SALUM: Turufu yake ya urais ni Zanzibar kuwa ya kilimo

    1 hour ago
  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 233

May 2024

  • Habari

BASHUNGWA AWASILI KILWA KIVINJE SAA 5 USIKU NA BOTI KUPITIA BAHARINI KUWAFIKIA WANANCHI

Admin1 year ago01 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine wamesili katika Mji mdogo wa kilwa kivinje wilaya Kilwa mkoani Lindi kwa usafiri wa boti kutoka Somanga kupitia baharini kwa ajili ya kuangalia hali Miundombinu na kuwafikia Wananchi kutokana na mawasiliano ya Barabara ya Lindi – Dar-…

Read More
  • Burudani
  • Michezo

Mandonga: Ndege ilipotikisika ilitaka kunitoa roho (2)

Admin1 year ago020 mins

BONDIA Mandonga ambaye jina lake halisi ni Karim Said, amefanya mahojiano maalum na Mwanaspoti na baada ya jana kueleza mambo mengi kuanzia ajira yake ya zamani ya kupiga debe hadi sasa akiwa bondia maarufu, leo tuendelee naye katika sehemu ya pili ya mahojiano hayo: SWALI: Kukosa mchezo wa ngumi pengine ulitamani kuwa nani? JIBU: Nashukuru…

Read More
  • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 6,2024

Admin1 year ago01 mins

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 6,2024 Featured • Magazeti About the author

Read More
  • Habari

Chad yafanya uchaguzi wa rais kuhitimisha utawala wa kijeshi – DW – 06.05.2024

Admin1 year ago05 mins

Uchaguzi huo ulipangwa kwa dhamira ya kuhitimisha miaka mitatu ya utawala wa mpito wa kijeshi chini Mahamat Idriss Deby.  Alichukua madaraka mwezi Aprili mwaka 2021 baada ya waasi kumuua baba yake Idriss Deby, aliyekuwa kiongozi wa muda mrefu wa Chad. Hata hivyo kura ya leo yumkini itaimarisha zaidi nafasi ya Mahamat kama mtawala wa taifa…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 6, 2024

Admin1 year ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 6, 2024 first appeared on Millard Ayo.

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 6, 2024

Admin1 year ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 6, 2024 first appeared on Millard Ayo.

Read More
  • Habari

Halmashauri ya mji wa Njombe yafikia 91% kutoa chanjo saratani mlango wa kizazi kwa wasichana

Admin1 year ago02 mins

Halmashauri ya mji wa Njombe mefanikiwa kutoa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya 9 – 14 kwa 91% na kuvuka lengo la angalau 80% kitaifa huku wakitarajia kufikia 100% ifikapo Mwezi Disember 2024 mwaka huu ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo. Simon Ngassa ni mtaalamu wa afya…

Read More
  • Habari

WANANCHI DODOMA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI MLIMWA KUEPUKA MAGONJWA YA MLIPUKO

Admin1 year ago03 mins

Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa mazingira katika eneo la Shule ya Msingi Mlimwa B kwa lengo la kuweka mazingira safi na kuepuka na magonjwa ya mlipuko kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa…

Read More
  • Habari

Wanafunzi Hanang wajengewa miundombinu kudhibiti magonjwa ya milipuko

Admin1 year ago04 mins

Hanang. Wanafunzi 3,000 wa shule za msingi na sekondari Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamejengewa miundombinu ya usafi ili kudhibiti magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu. Hali hiyo imetokana na tukio la Desemba 3, 2023 ambapo wilaya hiyo ilikumbwa na maporomoko ya tope, magogo na miti yaliyotokea Mlima Hanang’ na kusababisha vifo vya watu 89 na…

Read More
  • Habari

WAZAZI MKOA WA MAGHARIBI WAFANYA KONGAMANO KUELEKEA WIKI YA WAZAZI

Admin1 year ago03 mins

Na Fauzia Mussa Maelezo.05.05.2024. Mkuu wa Oganaizesheni Afisi Kuu ya chama cha mapinduzi Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi amezitaka jumuiya za chama cha Mapinduzi kuweka mikakati ya kuwatambua vijana ambao hawajasaliliwa katika datfari la wapiga kura ili waweze kusajiliwa. Akifungua kongamano la jumuiya ya wazazi wa Mkoa wa Magharibi Kichama huko Skuli ya Ali Hassan Mwinyi…

Read More
  • 1
  • …
  • 231
  • 232
  • 233
  • 234
  • 235
  • …
  • 279

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo