
Kinana alivyojibu hoja nne za Chadema, Lissu afafanua
Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa CCM -Bara, Abdulrahman Kinana amewajibu Chadema kuwa hoja zao za Katiba mpya, sheria za uchaguzi, Rais Mzanzibari na majimbo zimelenga kuwagawa Watanzania. Kinana amesema hayo jana alipozungumza na wana-CCM wa Mkoa wa Dodoma kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete. “Sheria ya uchaguzi iliyopo ni nzuri na bora kuliko sheria zilizopita, na muhimu…