
Wanasiasa kadhaa washambuliwa Ujerumani – DW – 05.05.2024
Nchini Ujerumani yameitishwa maandamano ya kulaani mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa dhidi ya wanasiasa kadhaa pamoja na watu wanaofanya harakati za kampeni za uchaguzi wa Umoja wa Ulaya ndani ya Ujerumani. Mashambulizi hayo ambayo yamekuwa yakiendelea kushuhudiwa katika mitaa mbali mbali yamesababisha mshtuko nchini Ujerumani. Waziri wa mambo ya ndani Nancy Faeser ameitisha mkutano wa…