
Kinana: Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi si sababu pekee ya kushinda uchaguzi
Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema madai ya Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi siyo kigezo pekee cha kushinda uchaguzi. Kinana amesema hayo leo Mei 5, 2024 kwenye mkutano na wana-CCM Mkoa wa Dodoma unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete. Amesema hoja za Chadema za kudai Katiba mpya na Tume huru ya…