
AGIZO LA SERIKALI LATEKELEZWA NA JKT
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua jiko la gesi katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na Alex Sonna-KASULU VIJIJINI JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeanza kutekeleza agizo la Serikali la matumizi ya nishati…