
Ujenzi holela unavyokwamisha uokoaji raia wakati wa majanga
Dar es Salaam. Miongoni mwa sababu za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kushindwa kufika eneo la tukio ni pamoja na mipango miji, huku sababu nyingine ikielezwa ni miundombinu kutokuwa rafiki. Kwa muda mrefu jeshi hilo limekuwa likitupiwa lawama kila kunapotokea tukio la moto, kwa kuchelewa kufika eneo la tukio na wakati mwingine ikidaiwa hata wakiwahi…