CDC NA AMREF TANZANIA ZASHIRIKIANA KUIMARISHA KINGA YA MAGONJWA YA MLIPUKO HANANG – MANYARA
Mgeni rasmi, Dkt. Mohamed Kodi ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara (wa kwanza kushoto) akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Hanang wakati wa uzinduzi rasmi wa maeneo maalum ya kunawia mikono yaliyojengwa na Shirika la Amref Tanzania, kupitia ufadhili wa Kituo cha serikali ya Marekani CDC Tanzania kwa kushirikiana na…