Viongozi wadaiwa kukacha mkutano wa diwani Simanjiro

Simanjiro. Wakazi wa Kijiji cha Loiborsiret wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewashukia mwenyekiti wa kijiji hicho  Kimaai Saruni na mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Aloyce Teme kwa kutoshiriki mkutano wa Diwani wa Loiborsiret, Ezekiel Lesenga maarufu Maridadi. Wananchi wamedai viongozi hao wamegoma kushiriki mkutano wa diwani wao uliokuwa na agenda ya kusoma taarifa ya utekelezaji…

Read More

Wakazi, wanafunzi wakwama kivuko kikisimama kufanya kazi Lindi

Lindi.  Kivuko cha MV Kitunda kinachofanya safari zake kutoka Ng’ambo ya Lindi Mjini kwenda Kitunda kimesitisha safari kwa hofu ya Kimbunga Hidaya. Jana, Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania  (Temesa) umetangaza kusitisha huduma za vivuko katika mikoa mitatu ya Mtwara, Lindi na Pwani kufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu…

Read More

Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa

Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected]Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika msimu wa 2023/24, kulingana na tathmini ya awali ya Bodi ya Korosho ya Tanzania (CBT). Tathmini hiyo inaonyesha ongezeko la uzalishaji limetokana na utoaji wa pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku…

Read More

Majaliwa: Mazingira ya Ufukwe wa Coco hayavutii

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Manispaa ya Kinondoni kutumia kodi inayokusanya katika Ufukwe wa Coco kufanya maboresho kutokana na mazingira yaliyopo kutovutia. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Aprili 4, 2024 baada ya kushiriki mbio za kilomita 10 kutoka Daraja la Tanzania hadi Ufukwe wa Coco ikiwa ni programu aliyoinzisha kila…

Read More

Majaliwa ashiriki kampeni ya Wizara ya Afya ya mazoezi

*Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara ya Afya ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi kwa watanzania ili kujiepusha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Mheshimiwa Majaliwa amesema hatua hiyo pia ni kuunga mkono wito wa Rais wa…

Read More

Mvua yasababisha mafuriko Moshi, Mto Rau wajaa maji

Moshi. Mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo, Mei 4, 2024 maeneo ya Mlima Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi, zimesababisha mafuriko katika kata za Msaranga na Mji Mpya, huku baadhi ya nyumba zikizingirwa na maji. Mafuriko hayo yanatokana na Mto Rau kujaa maji na kuvunja kingo hivyo kusababisha maji kutapakaa katika makazi ya watu,mashamba na kuharibu mali na nyumba….

Read More

Gamondi azungumzia ukame mabao ya Nzengeli

MAXI Nzengeli alipojiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu, alianza kuitumikia timu hiyo kwa kishindo akifunga kwa kiwango cha kutisha kabisa akipachika mabao manane katika mechi 12 za kwanza za michuano yote, lakini tangu alipoifunga Simba mabao mawili katika ushindi wa 5-1 wa Kariakoo Dabi ya kwanza Novemba 5, 2023, mabao ya kiungo huyo Mcongo…

Read More