Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh. 80 milioni, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, kwa kosa la kumchafua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Amri hiyo ilitolewa juzi tarehe 2 Mei 2024 na mahakama hiyo…

Read More

Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani

Iringa. Ofisa Tarafa ya Kiponzelo, wilayani Iringa, Rukia Hassan amesema umeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuanzisha vilabuni vya pombe za kienyeji kiholela kwenye nyumba zao, jambo linalohatarisha ustawi wa watoto. Amesema imefika hatua mtu akitengeneza  pombe hizo, wateja wanaenda kununua na kunywea nyumbani jambo ambalo haliwezi kukubalika na kuachwa liendelee. Akizungumza na Mwananchi leo…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Mo Salah, Klopp katika mahafali baada ya mitihani

SIJUI kama imebadilika lakini nimekumbuka zamani. Zamani yetu shuleni. Walimu walikuwa na akili timamu kupanga tuanze na mahafali kisha twende katika mitihani. Ingewafanya wanafunzi wenye vurugu kuwa na nidhamu siku ya sherehe yao ya mwisho shuleni. Sijui nani alipata wazo lile. Haijatokea hivyo Liverpool. Nimekumbuka Jumamosi mchana pale Uwanja wa Olimpiki London. Kulikuwa na mahafali…

Read More

Picha la Kibu linatisha, Yanga yachafua hewa

HABARI ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More

ATOA ELFU TANO KWA RAIS SAMIA

Na Munir Shemweta, MLELE Mkazi wa kijiji cha Luchima katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Bw. Aseni Jandikile ametoa shilingi elfu tano kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na juhudi zake za kuwaletea maendeleo wananchi. Kiasi hicho cha pesa kimekabidhiwa…

Read More