
Wanaokwepa stempu za kielektroniki jela miaka mitatu, faini milioni 50
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wazalishaji na waagizaji wa bidhaa watakaoshindwa kubandika stempu za kodi za kielektroniki watakabiliwa na faini kati ya Sh milioni 5 hadi 50 au kifungo cha miaka mitatu jela. Kabla ya kuanzishwa kwa stempu za kodi za kielektroniki Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilikuwa ikitumia stempu za karatasi hali iliyosababisha kuwapo…