Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: May 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 252
Michezo

Mgunda aanza kuhesabu, Simba ikibakisha nne

May 3, 2024 Admin

KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili wa

Read More
Habari

Dkt Biteko apongeza mchango wa Kanisa kwenye maendeleo ya Taifa

May 3, 2024 Admin

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika makanisa yao ili kujenga

Read More
Habari

Gaza bado inakabiliwa na kitisho cha njaa – DW – 03.05.2024

May 3, 2024 Admin

Muwakilishi wa Shirika la Afya Duniani katika maeneo ya Palestina Rik Peeperkorn amesema kuwa chakula zaidi kimewasili katika Ukanda wa Gaza katika wiki za hivi

Read More
Habari

Mwafaka mgomo wa daladala Tanga – Horohoro Jumatatu

May 3, 2024 Admin

Tanga. Madereva wa mabasi madogo yanayofanya safari zake kati ya Tanga mjini na Horohoro Wilaya ya Mkinga waliogoma jana Mei 2, 2024 kusafirisha abiria, leo

Read More
Michezo

Bodi ya Ligi: Tumechukua  tahadhari Kimbunga Hidaya

May 3, 2024 Admin

MWANDISHI WETUBODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema imechukua tahadhari muhimu juu ya tishio la kimbunga kinachoendelea kinachojulikana kwa jina la Hidaya. Ofisa Habari wa TPLB,

Read More
Habari

DKT. BITEKO APONGEZA MCHANGO WA KANISA KWENYE MAENDELEO YA TAIFA

May 3, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu,  Dodoma.  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika

Read More
Habari

Namna majitaka yalivyogeuzwa fursa Zanzibar

May 3, 2024 Admin

Unguja. Miaka michache iliyopita, Wazanzibari walikumbwa na maradhi ya mlipuko kama kipindupindu kutokana na mazingira kutokuwa safi. Mwaka 2016 watu 45 walipoteza maisha na 3,000

Read More
Michezo

Zahera: Matampi ilibaki kidogo acheze Yanga

May 3, 2024 Admin

Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya ‘cleansheet’ kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye ni

Read More
Habari

Benki ya NBC Yazindua Huduma Maalum Kuwashika mkono Wastaafu

May 3, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma

Read More
Habari

Atolewa uvimbe wa kilo tano tumboni alioishi nao miaka 10

May 3, 2024 Admin

Geita. “Nimezaa watoto 11 lakini mtoto wangu wa mwisho niliyemzaa mwaka 2010 nilikuwa nipoteze maisha, maana nilitokwa na damu nyingi sana, nikazimia mara tatu na

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 251 252 253 … 279 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.