Unguja. Miaka michache iliyopita, Wazanzibari walikumbwa na maradhi ya mlipuko kama kipindupindu kutokana na mazingira kutokuwa safi. Mwaka 2016 watu 45 walipoteza maisha na 3,000
Month: May 2024

YUKO wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara

Dar es Salaam. Ni jambo linalofikirisha pale unapokuta vimbunga vingi, dhoruba au tufani mara nyingi vinapewa majina ya binadamu, na zaidi yale ya kike. Hata kimbunga

Na Janeth Raphael -MichuziTv Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Kanda ya kati inayojumuisha mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma imefanya

KESHO Singida Fountain Gate itaialika Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kuanzia saa 10:00 jioni, huku

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, leo May 05,2024 amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa rufaa No.155 ya

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma za

Arusha. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha, nia ya kutoendelea na dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amewasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Mikoa minne leo May

Nafasi Muhimu ya Takwimu Huria Katika Kudumisha Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kuthamini Ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania Na Balozi Michael