Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: May 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 254
Habari

Serikali yakiri uwepo wa malalamiko ya rushwa kwenye mabaraza ya ardhi

May 3, 2024 Admin

Dodoma. Serikali ya Tanzania imekiri kutambua uwepo malalamiko ya rushwa kwenye mabaraza ya ardhi na kuwa imekuwa inachukua hatua kila inapobainika kuna uamuzi umefanyika kwa

Read More
Habari

CHIKOTA ASHAURI MAMBO MATANO KWENYE ZAO LA KOROSHO

May 3, 2024 Admin

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge

Read More
Habari

Waziri Gwajima kukabidhi nyumba kwa mjane aliyefukuzwa baada ya kugoma kurithiwa.

May 3, 2024 Admin

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Doroth Gwajima anatarajia kukabidhi nyumba kwa mjane Judith Innocent Luhumbika, aliyekuwa akipitia manyanyaso kutoka

Read More
Habari

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

May 3, 2024 Admin

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uzinduzi huo umefanyika leo

Read More
Habari

Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger – DW – 03.05.2024

May 3, 2024 Admin

Tuelekee huko nchini Niger ambako inaripotiwa kuwa wanajeshi wa Urusi wameingia kwenye kambi ya jeshi la anga inayokaliwa na wanajeshi wa Marekani, haya yanajiri baada

Read More
Habari

LIVE: Tazama kimbunga Hidaya kinavyoikaribia Tanzania

May 3, 2024 Admin

Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.

Read More
Habari

Masahi: Sina mahusiano mazuri na jirani tangu 2016 hadi sasa

May 3, 2024 Admin

MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Ibrahim Masahi (40) ameieleza mahakama kuwa tangu mwaka 2016 hadi sasa hana mahusiano mazuri na jirani yake Deogratus Minja ndiyo

Read More
Michezo

Makocha hawa watajwa kumrithi Benchikha Simba

May 3, 2024 Admin

BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo

Read More
Habari

Rais Samia atoa Bilioni 5 kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja-Lindi

May 3, 2024 Admin

Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na

Read More
Habari

Mateka wa Israel na Daktari wa Kipalestina wafariki – DW – 03.05.2024

May 3, 2024 Admin

Serikali ya Israel imefahamisha hivi leo kuwa mateka huyo ambaye ni sehemu ya wengine zaidi ya 130 wanaoshikiliwa na kundi la Hamas katika Ukanda wa

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 253 254 255 … 279 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.