
Ufugaji wa samaki unavyotumika kupambana na udumavu Kiponzelo
Iringa. Ufugaji wa samaki kwenye vijiji vya Kata ya Kiponzelo, wilayani Iringa umeanza kutumika kama njia ya kupambana na tatizo la udumavu ambalo limekuwa mwiba kwa watoto wengi hasa wenye umri chini ya miaka mitano. Kulingana na utafiti wa hali ya afya ya uzazi ya mama na mtoto na maralia wa mwaka 2021, asilimia 50.4…