
Mzozo kati ya Klopp na Salah watatuliwa..
Mkufunzi wa Liverpool Jürgen Klopp amesema kutoelewana kwake na fowadi Mohamed Salah wakati wa mechi ya wikendi iliyopita huko West Ham kumetatuliwa “kabisa”. Salah alizozana na meneja Jürgen Klopp wakati Liverpool ikitoka sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa London Stadium Jumamosi. Klopp na Salah walionekana kutoelewana wakati mchezaji huyo akisubiri kutambulishwa kutoka benchi zikiwa zimesalia…