Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili kuunganisha Kibaha na Kibwengere Wilaya ya Ubungo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yameelezwa leo Ijumaa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Zainabu Katimba wakati akijibu…

Read More

Serikali yataka subira magari ya Zanzibar kutambulika Bara

Dodoma. Serikali imewataka wabunge wawe na subira wakati Serikali ikiendelea na utaratibu wa marekebisho ya sheria itakayowezesha vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Zanzibar kutambulika Tanzania Bara. Hayo yamesemwa bungeni leo Ijumaa Mei 3, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Daniel Sillo wakati akijibu swali la Bakar Hamad Bakar, mbunge wa Baraza la Wawakilishi (BLW)….

Read More

Ken Gold inasukwa upya Ligi Kuu na mikakati Kibao

Ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao hapana. Ni kauli ya uongozi wa Ken Gold, ukielezea mikakati yao ya msimu ujao baada ya kupanda Ligi Kuu ukisema hawatakurupuka kusuka kikosi na kipaumbele ni wazawa kwanza. Ken Gold inatarajia kucheza Ligi Kuu msimu ujao kwa mara ya kwanza baada ya kufanikiwa kumaliza kinara Championship kwa pointi 70…

Read More

Tanzania Sasa Kitovu cha Matibabu ya Kibingwa

Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akiangalia maonyesho  kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA). mkutano huo wa siku mbili unaendelea jijini Dar es Salam na utamaliza Mei 3,2024. Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa…

Read More

Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu

Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa miaka mingi na mashabiki wa soka jijini Mwanza na nchini.  Pamba ilipanda Ligi Kuu ikivuna jumla ya pointi 67 baada ya kucheza mechi 30, ikishinda…

Read More

JKT kuzalisha lita milioni 28 za mafuta ya mawese

Kigoma. Katika kupambana na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula nchini, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linatajia kuzalisha lita za milioni 28 za mafuta ya mawese. Takwimu zilizotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka 2021, mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni tani 570, 000 wakati uzalishaji nchini ni tani 210,000 tu. Mwenyekiti wa…

Read More