
Watoto wasimulia walivyobakwa, kulawitiwa na mtu aliyejifanya askari
Iringa. Watoto watatu, mmoja kati yao akiwa wa kiume, wamebakwa na kulawitiwa na mtu ambaye aliwakamata akijifanya ni askari polisi katika Mtaa wa Dodoma Road E, Kata ya Mkimbizi iliyopo katika manispaa ya Iringa. Watoto hao wenye umri wa miaka kati ya 13 – 15 (majina yanahifadhiwa), wamefanyiwa ukatili huo April 30, 2024 baada ya…