
Ishu ya Kibwana na Azam ipo hivi
Beki wa Yanga, Shomari Kibwana ni kati ya wachezaji ndani wa kikosi hicho ambao mikataba yao inaishia mwisho wa msimu huu (2023/244), lakini bado hajaanza mazungumzo ampya na viongozi wake. Wakati Yanga ikijivuta kukaa naye mezani, kuna taarifa chini ya kapeti zinaeleza kwamba Azam FC imepeleka ofa ya kuhitaji huduma yake kwa ajili ya msimu…