
CSSC YAGAWA VITABU VYENYE THAMANI YA SH MILLION 60 KWA VYUO VYA FAMASI NCHINI
KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akigawa vitabu mara baada ya kuzindua zoezi la ugawaji wa vitabu vya Famasi jijini Dodoma. KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka pamoja na kusherehekea mafanikio ya Mradi wa kuboresha mafunzo na huduma za famasi nchini (MAP-QPS) awamu ya pili uliokwenda sambamba…