
RAIS DK.MWINYI AIFUNGUA SKULI YA SEKONDARI UTAANI WETE-PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Skuli ya ghorofa ya Sekondari Utaani ni utekelezaji wa ahadi ya serikali aliyoitoa baada ya tukio la moto iliyoteketeza skuli ya awali iliyokuwa na madarasa 11 na kuahidi kujenga skuli bora zaidi ambayo kwasasa ina madarasa 41. Rais Dk. Mwinyi…