
Mkulima Singida aibuka na Mil. 10/- za NMB Pesa Weka na Ushinde
NA MWANDISHI WETU KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye thamani ya Sh. Mil. 250, imefikia ukomo kwa mkulima na mjasiriamali Emmanuel Amos Kakale wa Mitundu, Singida kuibuka na zawadi kuu ya Sh. Mil. 10 NMB Pesa ambayo ni akaunti…