SMZ YATENGA BILIONI 34 POSHO YA NAULI KWA WAFANYAKAZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda kazini na kurudi nyumbani. Amesema shilingi bilioni 34 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya posho…

Read More

Gamondi adai Pacome bado, mwenyewe afunguka

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Tabora United na kusema bado anahitaji muda wa kurejea katika makali yake. Pacome alianza kuomba kutumika tangu mchezo wa watani wa jadi Aprili 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa…

Read More

Pacome apewa dakika 20, Yanga ikitinga nusu fainali FA

BAADA ya kukosekana katika michezo saba katika mashindano tofauti sawa na dakika 630, kiungo Pacome Zouzoua amecheza dakika 20 wakati Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa kuichapa mabao 3-0  Tabora United  kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi. Pacome ambaye alipata majeraha katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, Machi…

Read More

Faini zatawala Ligi Kuu Bara

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Aprili 30, mwaka huu imepitia matukio yaliyojitokeza katika mechi za Ligi Kuu, Championship na First League na kutoa adhabu mbalimbali kwa timu na wachezaji.  Katika uamuzi uliotolewa timu ya Mashujaa imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la…

Read More

Mkurugenzi wa zamani ZBC ambwaga tena DPP kortini

Zanzibar. Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, limeitupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Hassan Mitawi. Kupitia rufaa namba 82 ya mwaka 2023, DPP alipinga hukumu ya Mahakama Kuu Zanzibar, iliyomwachia huru Mitawi na mtumishi mwingine wa…

Read More