
Bibi adaiwa kumfanyia ukatili mjukuu wake wa miaka minane
Moshi. Mtoto wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Himo, Glory Felician (8) ameokolewa na wanaharakati kufuatia vitendo vya ukatili anavyofanyiwa na bibi yake anayeishi naye katika mji mdogo wa Himo. Mtoto huyo ambaye ni mwenyeji wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, amekuwa akikatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa ni wembe sehemu…