
Mikoa mitano kupata mvua kuanzia Mei 3 hadi 6
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imebaini uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa ambao utachangia uwepo wa mvua kubwa na upepo katika mikoa mitano nchini. Mikoa inayotarajiwa kupata mvua hizo ni Mtwara, Lindi, Pwani, Morogoro, Dar es Salaam na maeneo ya jirani. Taarifa hiyo imetolewa na TMA leo Mei mosi, 2024…