
DC KIGOMA ATOA ANGALIZO VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO JKT
MKUU wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,hafla iliyofanyika Mkoani Kigoma. Na.Alex Sonna-KIGOMA MKUU wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli amewataka vijana waliopata mafunzo ya awali Jeshi la…