
Serikali imalize mgogoro wa kikokotoo – ACT
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kumaliza mgogoro wa kikokotoo cha pensheni za wastaafu, kwa kurejesha kanuni za zamani za mafao zilizotumika kabla ya mwaka 2017. Kauli inakuja wakati maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kitaifa yakiwa yamefanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, huku mgeni rasmi akiwa Makamu…