
MSD HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VINAKUWA NA DAWA ASEMA RC TANGA
Mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt Batlida Buriani ameitaka bohari ya dawa nchini kuhakikisha vituo vyote vya afya mkoani humo vinakuwa na dawa muhimu ili kupunguza malalamiko ya wananchi ya ukosefu wa dawa . Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa mkoa ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Tanga James Kaji wakati akifungua mkutano…