
TVA yatoa chanjo kwa wanyama
CHAMA cha Madaktari wa Wanyama (TVA) kimefanikiwa kutoa chanjo kwa wanyama mbalimbali dhidi ya magonjwa ya sotoka na kichaa cha mbwa sambamba na kufanya uchunguzi na matibabu kwa wanyama. Hatua hiyo ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya Madaktari wa Wanyama duniani, Katibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Meneja wa Kituo…