
Bei ya petroli yapaa, ni ya juu zaidi katika miezi 20 iliyopita
Dar es Salaam. Bei ya petroli kupitia katika bandari ya Dar es Salaam inayoanza kutumia Mei 01, 2023 ni ya juu zaidi katika kipindi cha miezi 20 iliyopita, Mwananchi limebaini. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya ya rejareja kwa lita ya petroli kufikia Sh3,314 ikiwa ni bei ya juu…