
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda – DW – 01.05.2024
Serikali ya Uingereza imesema hii ni mara ya kwanza kutumika kwa sheria yake mpya ya kimataifa ya vikwazo dhidi ya ufisadi kwa watu wanaokabiliwa na madai ya ufisadi nchini Uganda, na kwamba ni sehemu ya msako wa kimataifa. Wanaolengwa na vikwazo vya Uingereza nchini Uganda Among, ni mmoja wa watu watatu wanaolengwa na vikwazo vya…