
TBS KANDA YA KATI YATEKETEZA BIDHAA ZISIZO NA UBORA
Afisa Mdhibiti ubora Kanda ya kati TBS, Sileja Lushibika, akizungumza na waandishi habari leo Mei 31,2024 jijini Dodoma mara baada ya kuteketeza vyakula pamoja na vipondozi vyenye thamani ya shilingi milioni 42.5. Afisa Mdhibiti ubora Dodoma TBS Bi. Halima Msonga,akizungumza na waandishi habari leo Mei 31,2024 jijini Dodoma mara baada ya kuteketeza vyakula pamoja…