
Mume adai kudhulumiwa Sh4 milioni na mkewe
Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza, Rashid Kiwamba amedai mahakamani kuwa mkewe Habiba Mohamed amemtapeli Sh4 milioni fedha ya nyumba waliyouza eneo la Ulongoni. Inadaiwa kuwa kati ya Septemba 28, 2023 eneo la Ulongoni Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam mshtakiwa, Habiba alipokea Sh4 milioni kutoka kwa mumewe, Rashid Kiwamba kupitia benki ya NMB…