
Inter Milan wako tayari kutoa ofa kwa Beki wa Man United..
Inter Milan iko tayari kupeleka ofa kwa Manchester United kwa ajili ya kumnunua beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka. Kulingana na chombo cha habari cha Italia TuttoMercatoWeb, Inter iko tayari kulipa takriban euro milioni 12 kwa ajili ya beki huyo mwenye umri wa miaka 26. COPENHAGEN, DENMARK – NOVEMBER 8: Aaron Wan-Bissaka of Manchester United looks…