
Bocco awaaga Simba, mastaa watia neno
BAADA ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka wazi kuwa huu ndiyo mwisho wake wa kuonekana ndani ya kikosi hicho akicheza. Bocco kupitia mtandao wake wa kijamii ameandika: “First and Last thanks Lion” akiwa na maana kwamba ni mwanzo…