
ISOC-Tz yaibuka kidedea tuzo za WSIS 2024 PRIZES
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya habari, Nape Nnauye na Rais wa Taasisi ya Internet Society Tanzania Chapter(ISOC-TZ) Nazar Kilama wakipokea tuzo y a Access to Information and Knowledge ambapo ISOC -Tanzania imekuwa ya kwanza kati ya project 1049 kwenye kundi la tatu. Picha pamoja Waziri wa Habari,. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape…