
Polisi yakana kumshikilia ‘mchepuko’ wa Msele, kuzikwa Jumamosi
Moshi. Wakati taarifa zikisambaa maeneo mbalimbali Mjini Moshi za kukamatwa kwa mwanamke aliyezaa na Ephagro Msele anayedaiwa kuuawa na mkewe Beatrice Elias (36) baada ya kumfuma naye, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote. Akizungumza na Mwananchi Digital leo, Mei 28, 2024, Kamanda Maigwa amesema watu wapuuze taarifa…