
T: Utata akidaiwa kupelekwa akiwa hai mochwari
Moshi. Ni tukio la kutatanisha. Hii ni baada ya mzee mmoja aliyejulikana kwa jina la Saimon Macha kudaiwa kwamba jana akiwa hospitalini KCMC alikokuwa amelazwa, alikufa na baadaye akabainika kuwa bado yuko hai akiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Baada ya taarifa hizo kuvuma na baadhi ya wanafamilia kuzipata, waliamua kuweka msiba nyumbani kwake Mtaa…