
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Naupenda uzee wa Saido
UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee. Ligi yetu bado ina maajabu kidogo. Wachezaji wazee wanacheza vizuri na wanafunga sana kuliko vijana. Ni kweli soka letu linakua na tumeanza kupata wachezaji wengi bora licha ya kutoondoa ukweli, umri sio kigezo cha kumzuia…