Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: May 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 39
Habari

LALJI FOUNDATION YAFADHILI KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KASULU

May 28, 2024 Admin

Wananchi na wakazi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamejitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya ya Kasulu kupata huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari

Read More
Habari

NAIBU KATIBU MKUU UJENZI AMPA TANO RAIS SAMIA UKAMILISHAJI MIRADI YA MAENDELEO

May 28, 2024 Admin

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw Ludovick Nduhiye amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea

Read More
Habari

WAZAZI TENGENI BAJETI YA YA KUWANUNULIA TAULO ZA KIKE WATOTO WENU

May 28, 2024 Admin

Na WAF, ARUSHA Wazazi na walenzi nchini wametatakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vyakujilinda na kuwa na hedhi salama katika

Read More
Habari

WAZIRI SILAA AFUNGA OFISI YA MASIJALA YA ARDHI JIJI LA DODOMA

May 28, 2024 Admin

Na Munir Shemweta na Eleuteri Mangi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma

Read More
Habari

WAZIRI JAFO AWASILI KATAVI KUANZA SAFARI YA KUELEKEA WIKI YA MAZINGIRA

May 28, 2024 Admin

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewasili mjini Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya ziara yakikazi

Read More
Michezo

PAZIA LA LIGI KUU LINAVYOFUNGWA

May 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mechi za mwisho za msimu wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwa sasa,  kwa upande wao Yanga inaongoza mabao 2-1 yakifungwa na Aziz Ki.

Read More
Habari

SOKO KULIINGIZIA JIJI MAPATO BILIONI 3.5 KWA MWAKA

May 28, 2024 Admin

Mmoja wa wahandisi wa kampuni ya United Bulders (katikati),inayojenga soko la Jiji la Mwanza,leo akiwaelekeza wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Mwanza ilipokagua

Read More
Habari

DKT. NCHEMBA AIOMBA INDONESIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUBORESHA MIFUMO YA KODI

May 28, 2024 Admin

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akieleza umuhimu wa ushirikiano katika maendeleo wakati wa mkutano na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe.

Read More
Habari

Bei vocha za simu zapanda kinyemela, TCRA CCC waonya

May 28, 2024 Admin

IMEBAINIKA kuwa bei za vocha za kampuni mbalimbali za mitandao ya simu zimepandishwa bei kinyemela katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo ni Mbeya,

Read More
Habari

Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina – DW – 28.05.2024

May 28, 2024 Admin

Baada ya serikali ya Ireland kuidhinisha rasmi hatua hiyo, Waziri Mkuu Simon Harris alisema lengo ni kuweka hai matumaini ya amani ya Mashariki ya Kati.

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 38 39 40 … 279 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.