
Ulijua; kwa nini hukutuambia? | Mwananchi
Mwaka 1982 nilifika Mbagala. Kwa sasa sina kumbukumbu nzuri ya kitongoji hicho jinsi kilivyokuwa. Tulisafiri kwa basi la UDA mpaka mahala fulani (sijui ni Kurasini pale?), baada ya hapo tulichapa malapa hadi tuliposimama kwenye nyumba pweke kuomba maji ya kunywa. Tukapiga tena mguu hadi kwenye mti uliloanguka, tukapumzika. Mwanzoni tulikutana na mtu mmoja mmoja na…